Tuesday, 14 February 2017

kituo cha television cha mtv base kimetoa list ya majina 50 ya wasanii wa kuwaangalia kwa makini mwaka 2017 wasanii watanzania wa 4 wajitokeza.

Waasanii wenyewe ni Billnas, Rayvanny, Ruby na Ben Pol..

No comments:

Post a Comment