Sunday, 12 February 2017

BURNA BOY AKUTANA NA DRAKE


Afrika inazo headlines za Drake kwa wingi sasa hivi na ni baada ya kushirikiana na Mnigeria Wizkid kwenye nyimbo zinazotajwa kuwa nne ambapo time hii headlines za Drake zimehamia kwa msanii mwingine wa Afrika.
Aliyekutana nae sasa hivi ni mwimbaji wa Nigeria Burna Boy aliyemuona Drake akifanya show Uingereza mwishoni mwa wiki hii na kukutana nae.

No comments:

Post a Comment